STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 22 Septemba 2014

STRAIKA AS ROMA APIGA BAO, APANDA JUKWAANI KUMKUMBATIA BIBI YAKE

 Mshambuliaji wa AS Roma ya Italia, Alessandro Florenzi amepiga bao na haraka akapanda jukwaani na kwenda kumkumbatia bibi mwenye umri wa miaka 82.
Ilikuwa ni mechi kati ya AS roma dhidi ya Cagliari na wakashinda kwa mabao 2-0, yote yakiwa yamepigwa na mshambuliaji huyo.

Mara baada ya kufunga mshambuliaji huyo alipanda kasi kwenda juu ya jukwaa na kumkumbatia bibi huyo.
Huo ulikuwa ni ushindi mwingine wa AS Roma baada ya kuwa imeiadhibu kwa mabao 5-1 timu ya CSKA Moscow katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox