STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 29 Oktoba 2014

BARCELONA YAMPA MASCHERANO TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MSIMU


Barcelona imemtuza kiungo wake mkabaji, Javier Mascherano kuwa mchezaji bora wa msimu wa 2013-14.

Mascherano amezawadiwa tuzo ya Aldo Rovira kwa kuwa na mchango mkubwa zaidi msimu uliopita.
Tuzo hiyo imetolewa leo kwenye Uwanja wa Camp Nou unaomilikiwa na Barcelona.
Aliyemkabidhi tuzo hiyo ni Josep Lluís Rovira, mmoja wa wakurugenzi wa Barcelona.
Tuzo hiyo ilipewa jina la Aldo Rovira baada ya kufariki kwenye ajali. Wengine waliowahi kushinda tuzo hiyo iliyoanzishwa mwaka 2009 ni hawa wafuatao.
Leo Messi:
 (2012-13, 2010-11 na 2009-10)
Éric Abidal:

(2011-12).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox