STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 24 Novemba 2014

AMRI KIEMBA RASMI AZAM, AANZA MAZOEZI CHAMAZI

Igawa kumekuwa na hatua ya majadiliano kati ya Simba na Azam, hatimaye kiungo Amri Kiemba ameanza mazoezi leo.

Kiemba ameanza mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar.

Awali Azam FC ilitaka ipewe kiungo huyo kwa mkopo, lakini Simba ikakataa. nayo ikatangaza dau la dola 15,000 Azam FC ikakataa
pia
.

Lakini mambo inaonekana yameenda safi na Kiemba rasmi ameanza mazoezi Azam.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox