STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 20 Novemba 2014

ANGALIA KOLO TOURE ALIVYOMWAGA CHOZI SIKU YA HARUSI YAKE

KOLO AKIMWAGA CHOZI
 Beki wa Liverpool, Kolo Toure alimwaga chozi wakati akifunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.



Siku hiyo ilikuwa muhimu kwake na alishindwa kujizuia, akalia hata kuliko mkewe na kumfanya awe kivutio.

Ilikuwa mwaka 2012, Toure akiwa anakipiga Manchester city na mdogo wake, Yaya Toure.

Harusi hiyo ya kijadi na baadaye kwa imani ya dini yake ya Kiislamu, ilifana katika eneo la Chimene Akassou jijini Abidjan.
Wawili hao vaada ya kuishi pamoja kwa miaka 10, tayari wana watoto wawili.

Pamoja na kuhudhuriwa na watu wengi maarufu lakini lakini Yaya na beki wa Arsenal wakati huo, Emanuel Eboue na mwanamuziki maarufu wa DR Congo, Fally Ipupa ndiyo walikuwa kivutio zaidi.
Sasa Toure anakipiga Liverpool, maisha yanaendelea na hivyo ndivyo ilivyokuwa. Bora umejikumbusha.
YAYA TOURE AKIINGIA ENEO LA SHUGHULI.




EBUE AKIWASILI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox