STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 20 Novemba 2014

HAWA NDIYO WANAMICHEZO WENYE KIPATO KIKUBWA ZAIDI DUNIANI

MAYWEATHER

BONDIA MAYWEATHER NDIYE ANAONGOZA KWA KIPATO ZAIDI KULIKO WANAMICHEZO WENGINE WOTE DUNIANI

Mshambuliaji wa Manchester United, Wayne Rooney anaingiza pauni milioni 15 kwa mwaka ikiwa ndiyo kipato chake.

Katika hizo, pauni milioni 11.8 zinazokana na mshahara, lakini bado hajaweza kufanikiwa kuingia kwenye 10 Bora ya wanaolipwa vizuri.
Bondia Floyd Mayweather ndiye kinara na wanasoka  pekee wanaoingia kwenye 10 Bora ya kipato kikubwa kwa mwaka ni Cristiano Ronaldo na Lionel Messi tu.
WANAMICHEZO WANAOLIPWA ZAIDI - 2014
1) Floyd Mayweather (Ngumi) - £67m 
2) Cristiano Ronaldo (Soka) - £51.1m
3) LeBron James (Kikapu) - £46.2m
4) Lionel Messi (Soka) - £41.3m 
5) Kobe Bryant (Kikapu) - £39.3m
6) Tiger Woods (Gofu) - £39.1m
7) Roger Federer (Tenisi) - £35.9m
8) Phil Mickelson (Gofu) - £34m
9) Rafael Nadal (Tenisi) - £28.4m
10) Matt Ryan (NFL) - £28m 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox