STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 20 Novemba 2014

MAN UNITED YASAJILI KIPA WA BARCELONA............

Manchester-United
Manchester United imeripotiwa kumsajili kipa wa zamani wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania Victor Valdez baada ya kufanya nae mazoezi kwa muda wa karibu mwezi mzima .
Valdez ambaye aliihama Barcelona baada ya mkataba wake kuisha msimu uliopita alikuwa karibu kujiunga na klabu ya Liverpool lakini jeraha baya la goti alilopata katikati ya msimu uliopita  lilizuia usajili wake kwenda Anfield.
Victor Valdez yuko mbioni kukamilisha usajili wake na Manchester United .
Victor Valdez yuko mbioni kukamilisha usajili wake na Manchester United .
Katika kipindi hiki kocha wa Manchester United Louis Van Gaal alimpa kipa huyo nafasi ya kufanya mazoezi na United hali ambayo ilimuweka karibu na usajili ndani ya klabu hiyo .
Usajili wa Valdez ulithibitishwa na kipa namba moja wa United David De Gea ambaye alizungumza na waandishi wa habari na kuwathibitishia kuwa United imemsajili Valdez.
De Gea aliwaambia waandishi kuwa United haijamsajili Valdez kama mbadala wake.
De Gea aliwaambia waandishi kuwa United haijamsajili Valdez kama mbadala wake.
De Gea alikuwa akijibu maswali ya waandishi walimhusisha na usajili kuelekea Real Madrid na katika kukanusha kwake taarifa hizo De Gea aliwaambia waandishi wa habari kuwa Valdez hajasajiliwa kama mrithi wa nafasi yake .

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox