STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 4 Novemba 2014

ARSENAL KUIVAA ANDERLECHT BILA YA JACK WILSHERE

Arsenal itaingia uwanjani leo kwenye mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kuivaa Anderlecht ya Ubeligiji bila ya kiungo wake, Jack Wilshere.


Tayari Wilshere ameondolewa kwenye kikosi kitakachoivaa  Anderlecht, leo na Kocha Arsene Wenger  amesema kiungo wake huyo atakuwa fiti tena katika mechi ya Jumapili dhidi ya wakali wengine wa pasi England, Swansea.

Wilshere anasumbuliwa na maumivu ya goti na hakufanya mazoezi jana baada ya daktari kumtaka kupumzika.
Wenger amesisitiza kuna baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi kama Aaron Ramsey, wameanza kurejea na anatarajia kuanza kuwatumia.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox