STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 4 Novemba 2014

REAL MADRID YAICHAPA LIVERPOOL MOJA BILA TU

  
Licha ya kuonekana kuwa Liverpool itakutana na adhabu kali kutoka kwa Real Madrid kwenye Dimba la Santiago Bernabeu, kwa taarifa yako mechi imeisha kwa ushindi wa bao 1-0 tu.

Real Madrid ndiyo wameshinda bao hilo moja lililofungwa na Karim Benzema katika mechi ya Ligi ya Mabingwa.
Katika mechi iliyopita, Real Madrid iliichakaza Liverpool kwa mabao 3-1 kwenye Uwanja wa Anfield, hali iliyofanya wengi waamini kuwa kipigo cha paka mwizi kingefuatia ndani ya Bernabeu.
MATOKEO MENGINE YA LIGI YA MABINGWA ULAYA
Juventus 3-2 Olimpiakos
Malmo FF 0-2 Atletico Madrid
Basel 4-0 Ludogorets
Zenit 1-2 Leverkusen 2
Benfica 1-0 Monaco
Dortmund 4-1 Galatasaray








Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox