STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 4 Novemba 2014

ARSENAL NOUMA SANA, YATANGULIA 3, WABELGIJI WASAWAZISHA ZOTE EMIRATES

 Hadi dakika ya 61, Arsenal ilikuwa inaongoza kwa mabao 3-1 dhidi ya Anderlecht ya Ubelgiji katika mechi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Lakini dakika ya 90, licha ya kuwa nyumbani, matokeo yalikuwa yanasomeka hivi 3-3.

Hali hiyo ilitokana na uzembe mkubwa wa safu ya ulinzi na kiungo cha ukabaji wa Arsenal.
Mabao ya Arsenal yalifungwa na Mikel Arteta, Alexis Sanchez na Oxlade Chamberlain.
Lakini Wabelgiji hao waliokuwa hawapewi nafasi wakaanza kusawazisha moja baada ya jingine huku Mitrovic akifunga la tatu katika dakika ya 90.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox