STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 20 Novemba 2014

DAH! DANIEL STURRIDGE SASA NJE LIVERPOOL HADI MWAKA 2015

Daniel Sturridge ni mkosi juu ya mkosi. Sasa atakaa nje ya uwanja hadi Januari, 2015.

Mshambuliaji huyo alikuwa majeruhi na hakuichezea Liverpool tokea Agosti 31. Baada ya kurejea mazoezini, ameumia tena.
Sasa atarejea tena kuanza mazoezi na kuitumia Liverpool hadi Januari, mwakani kitu ambacho kimeonyesha kuwapa hofu mashabiki wa klabu hiyo kongwe.


MECHI 12 ATAKAZOZIKOSA STURRIDGE:
Crystal Palace (A) - November 23
Ludogorets (A) - November 26
Stoke (H) - November 29
Leicester (A) - December 2
Sunderland (H) - December 6
Basle (H) - December 9
Manchester United (A) - December 14
Bournemouth (A) - December 17
Arsenal (H) - December 21
Burnley (A) - December 26
Swansea (H) - December 29
Leicester (H) - January 1

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox