STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 3 Novemba 2014

MATE YA FELLAINI YAMUUMBUA KOCHA VAN GAAL


 Pamoja na Kocha Louis van Gaal kumtetea kiungo wake Maroane Fellaini kwamba hakumtemea mate mshambuliaji Kun Aguero wa Man City, picha zimemuumbua.


Picha zinaonyesha Fellaini raia wa Ubelgiji akimtemea mate Aguero wakati akimlaumu kuwa alijiangusha.
Tukio hilo lilitokea jana wakati wa mechi ya watani hao wa jadi na wapinzani wakubwa na City kushinda kwa bao 1-0 lililofungwa na Muargentina, Aguero.
Van Gaal aliamini Fellaini hakufanya hivyo, lakini picha zimebadili mchezo huo na huenda Mbelgiji huyo mwenye asili ya kiarabu akakumbana na rungu la FA.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox