Nani amefunga
bao hilo umbali wa zaidi ya mita 30 wakati Sporting ilipishinda Gil Vicente kwa
mabao 2-0, jana.
Baada ya
kufunga bao hilo safi kabisa, Nani alijilaza na kuanza kulia.
Licha ya
wenzake kumshawishi kuinuka, aliendelea kulia huku akiinua mikono juu
akionyesha kumshukuru Mwenyezi Mungu.
Nani ,28,
alipelekwa kwa mkopo katika timu yake hiyo iliyomkuza kisoka baada ya kuonekana
hana kiwango kizuri.
Wakati wa Alex
Ferguson na Man United ikiwa tishio, Nani alikuwa mmoja wa wachezaji bora
wanaotegemewa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni