STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 28 Aprili 2015

HUU MWAKA WA CHELSEA, TIMU YA VIJANA MABINGWA WA FA WAICHAPA MAN CITY 2-1



Vijana wa Chelsea wameendelea kulitetea taji lao la ubingwa FA kwa upande wa vijana kwa kuwachapa Man City kwa mabao 2-1.


Ushindi huo umewafanya walibebe kombe hilo kwa mara nyingine kwa jumla ya ushindi wa mabao 5-2.
 
Vijana hao walibeba kombe hilo mbele ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich aliyekuwa uwanjani kuwashuhudia.

Tayari hiyo inaonekana ni kama baraka au dalili njema kwa wakubwa wao wa Chelsea ambao wamebakiza pointi tatu tu kubeba ubingwa wa England.
Chelsea: Collins; Aina, Tomori, Clarke-Salter, Dasilva; Colkett (c), Musonda (Ali 84 mins), Boga (Palmer 73); Abraham (Sammut 68), Solanke, Brown.
Subs not used: Thompson, Grant.
Goals: Brown 20, Abraham 46
Booked: Brown 
Manchester City: Haug, Maffeo, Adarabioyo (c), Humphreys, Angelino, Bryan, Wood (Garcia 68), Nemane, Celina, Iheanacho (Buckley 71), Barker
Subs: Albinson, Tattum, Dilrosun
Goal: Iheanacho 6
Attendance: 10,961









Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox