STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumamosi, 25 Aprili 2015

MBEYA CITY YAIADHIBU KAGERA, YAKWEA MPAKA NAFASI YA 4 ANGALIA MSIMAMO WA VPL



kiungo
Mbeya city imefanikiwa kujihakikishia kusalia katika ligi kuu ya Tanzania bara na kukwea mpaka nafasi ya 4 katika msimamo wa ligi kuu ya vodacom baada ya leo kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-0 mbele ya Kagera sugar.

Mbeya city hii leo walikuwa katika uwanja wake wa nyumbani, uwanja wa Sokoine na kufanikiwa kuibuka na ushindi huo huku kila goli laikufngwa katika kila kipindi.

Mbeya city waliandika goli lao la kwanza kwa mkwaju wa penati katika dakika ya 43, ulipigwa na Raphael Alfa, huku goli la pili likifungwa na Deusi Kaseke katika dakika ya 55.


MSIMAMO WA LIGI KUU YA VODACOM BAADA YA MICHEZO YA LEO

RnTimuPWDLFAGdPts
1YANGA23164347143352
2Azam FC23129233151845
3SIMBA SC24118534171741
4MBEYA CITY2471072121031
5KAGERA SUGAR248792224-231
6RUVU SHOOTING247891626-1029
7MTIBWA SUGAR2361072223-128
8MGAMBO SHOOTING2384111825-728
9Coastal Union2461081623-728
10STAND UNITED2477102131-1028
11JKT RUVU2367101723-625
12POLISI MORO2451091522-725
13NDANDA FC2467111829-1125
14T. PRISONS2331371522-722

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox