STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumapili, 3 Mei 2015

BECKHAM ATUA MOROCCO KUSHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA.

Beckham akiwa na mkewe Victoria mara baada ya kutua Marrakech kwa ndege yao binafsi.
NAHODHA wa zamani wa kimataifa wa Uingereza, David Beckham amewasili jijini Marrakech, Morocco sambamba na mke wake Victoria tayari kwa ajili ya sherehe yake ya kuzaliwa. Victoria alituma picha akiwa na Beckham pembeni mwa ndege yao binafsi ya kifahari katika mtandao wake wa kijamii wa Instagram pindi walipotua katika ardhi ya taifa lililopo kaskazini mwa bara la Afrika. 
Hoteli ya Amanjema (Peaceful paradise) ambayo watafikia na kufanya sherehe yao. 
Sherehe hiyo ambayo Beckham atakuwa akitimiza miaka 40 inatarajiwa kuhudhuriwa na marafiki zao maarufu wa karibu ambayo wenyewe walishawasili kabla ya wawili hao. Beckham kwasasa amestaafu soka baada ya kucheza kwa mafanikio akiwa katika klabu za Manchester United, Real Madrid, Los Angeles Galaxy huku pia akicheza kwa kipindi kifupi cha mkopo katika timu za Paris Saint-Germain na AC Milan

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox