STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 9 Julai 2015

BABU AMTUHUMU MJUKUU WAKE MESSI NI UVIVU.

BABU yake Lionel Messi, Antonio Cuccitini amesema mjukuu wake huyo alikuwa mvivu katika hatua za mwisho za michuano ya Copa America iliyomalizika hivi karibuni nchini Chile. 

Nahodha huyo wa Argentina alifunga bao moja pekee katika michuano hiyo wakati walipotandikwa na wenyeji Chile kwa changamoto ya mikwaju ya penati katika mchezo wa fainali uliofanyika Jumamosi iliyopita. 

Babu yake Messi anaamini kuwa mjukuu wake huyo angeweza kufanya mengi zaidi kuisaidia nchi yake kunyakuwa taji lake la kwanza baada ya kupita miaka zaidi ya 20. 

Akihojiwa Cuccitini amesema mwanzoni Messi alikuwa mchezoni lakini katika mechi tatu za mwisho hakuwa yule tena waliomzoea kwani alikuwa mvivu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox