Kocha
za zamani wa Tottenham, Harry Redknapp amesema timu ya Arsenal
inahitaji kusajili wachezaji watatu muhimu msimu huu kama wanahitaji
kushinda taji la Premier League.
Redknapp
amesema hayo baada ya kuangalia mchezo wa Arsenal dhidi ya Liverpool
Jumatatu usiku na kusisitiza klabu hiyo ina mapungufu na inahitaji
kusajili beki wa kati, kiungo mshambuliaji na mshambuliaji wa kati.
Arsenal imecheza



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni