United sasa inafuzu hatua ya makundi kwa ushindi wa jumla wa 7-1 baada ya awali kushinda 3-1 nyumbani.
Nahodha
Wayne Rooney alifunga mabao matatau katika dakika ya 20, 49 na 57,
wakati bao lingine la Mashetani hao Wekundu lilifungwa na Ander Herrera.
United
ingeweza kuondoka ushindi mnono zaidi kama Javier Hernandez
‘Chicharito’ asingekosa penalty kipindi cha pili Uwanja wa Jan Breydel.

Kikosi
cha Bruges kilikuwa; Bolat, De Fauw, Castelletto, Duarte, De Bock,
Claudemir, Vormer, Vazquez/Vanaken dk62, Bolingoli Mbombo/Cools dk76, De
Sutter, Diaby/Dierckx dk63.
Manchester
United; Romero, Darmian, Smalling, Blind, Shaw, Carrick,
Herrera/Hernandez dk64, Mata/Young dk62, Schweinsteiger dk46.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni