Goli la mkwaju wa penati la dakika
ya 84 limemfanya mshambuliaji Wayne Rooney awe mfungaji bora wa muda wote wa
timu ya taifa ya England akifikisha magoli 50 na akiivunga rekodi ya miaka 45
ya mkongwe Sir Bobby Charlton .
Rooney alifanikiwa kuivunja rekodi hiyo jana
jumanne alipoisaidia England kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Uswisi
katika mchezo wa kundi E wa kusaka tiketi ya kushiriki michezo ya Euro 2016
uliopigwa katika dimba la Wembley jijini London.
Goli hilo lilipatikana baada
ya Raheem Sterling kudondoshwa katika eneo la hatari na mwamuzi Gianluca Rocchi
kutoka Italia akaamuru upigwe mkwaju wa penati na Rooney bila kufanya ajizi
alifunga kwa shuti kali na matokeo kuwa 2-0 huku goli la kwanza likifungwa na
Harry Kane.
Harry Kane akishangilia goli
Rooney akipongezwa na wachezaji wenzake katika vyumba vya kubadilishia nguo.
Goli la mkwaju wa penati la dakika ya 84 limemfanya mshambuliaji Wayne
Rooney awe mfungaji bora wa muda wote wa timu ya taifa ya England
akifikisha magoli 50 na akiivunga rekodi ya miaka 45 ya mkongwe Sir
Bobby Charlton.
Rooney alifanikiwa kuivunja rekodi hiyo jana jumanne alipoisaidia
England kuibuka na ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Uswisi katika mchezo wa
kundi E wa kusaka tiketi ya kushiriki michezo ya Euro 2016 uliopigwa
katika dimba la Wembley jijini London.
Goli hilo lilipatikana baada ya Raheem Sterling kudondoshwa katika eneo
la hatari na mwamuzi Gianluca Rocchi kutoka Italia akaamuru upigwe
mkwaju wa penati na Rooney bila kufanya ajizi alifunga kwa shuti kali na
matokeo kuwa 2-0 huku goli la kwanza likifungwa na Harry Kane.
Vikosi vilikuwa kama ifuatavyo...
ENGLAND:
Hart, Clyne (Stones 68), Cahill, Smalling, Shaw, Milner, Shelvey (Kane
57), Delph (Barkley 3), Oxlade-Chamberlain, Rooney, Sterling.
SWITZERLAND:
Sommer, Lichtsteiner, Klose, Schar, Rodriguez, Xhaka, Inler, Behrami
(Dzemaili 79), Shaqiri, Drmic (Embolo 63), Stocker (Seferovic 72).
Matokeo mengine ya kuelekea Euro 2016
Kundi C
Hispania 1-0 Slovakia (Mata)
Slovakia 0-0 Ukraine
Kundi G
Belarus 2-0 Luxembourg (Mikhail Gordeichuk)
Austria 4-1 Sweden 4-1 (David Alaba, Marc Janko na Martin Harnik/Zlatan
Ibrahimovic)
Kundi G
Urusi 7-0 Liechtenstein
Montenegro 2-0 Moldova (Stefan Savic na Petru Racu)
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ
Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni