STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 5 Novemba 2015

RASMI FILAMU YA RONALDO KUZINDULIWA NOVEMBA 9 MWAKA HUU...

Ronaldo 1Baada ya sintofahamu ya muda mrefu juu ya lini filamu ‘movie’ ya Cristiano Ronaldo itatoka hatimaye filamu hiyo kuzinduliwa mwezi huu tarehe 9 na kuoneshwa na majumba mbalimbali ya sinema duniani.

Moja kati ya vipande vya filamu hiyo vinamuonesha mama wa Ronaldo Maria Dolores dos Santos Aveiro akiweka wazi kuwa alitaka kutoa ujauzito wa Ronaldo.

Akinukuliwa katika kipande hicho mama wa Ronaldo anasema “nilitaka kutoa ujauzito wa Ronaldo lakini Mungu hakutaka iwe hivyo.

Ronaldo hakuwa akihitajika kwangu kwa sababu nilitaka kuutoa ujauzito wake lakini mpaka sasa amenifanyia mambo makubwa” anamalizia mama wa Ronaldo Maria Dos Santos.

Filamu hiyo itakuwa na vipande tofauti tofauti vikielezea maisha ya Ronaldo pamoja na familia yake na imemchukua miezi 14 kutengeneza filamu hiyo.


Pia filamu ya Ronaldo itamzungumzia baba yake Ronaldo anayefahamika kama José Dinis Aveiro.

Baba yake Ronaldo alikuwa akifanya kazi ya kutunza bustani katika manispaa ya Funchal katika mji wa Medeira lakini alikuwa ni mlevi sana.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox