STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 6 Novemba 2015

RATIBA YA MICHEZO YA NOVEMBER 7 NA 8 LIGI KUU UINGEREZA NA HISPANIA...............










Bado Ligi Kuu Tanzania bara imesimama kwa muda ili kupisha na kuipa nafasi timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars kujiandaa na mchezo dhidi ya Algeria November 14 uwanja wa Taifa Dar Es Salaam, kama kawaida huwa nakuletea ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza na Hispania ambazo huwa zinachezwa weekend, hii ni ratiba ya mechi hizo kwa Jumamosi ya November 7 na Jumapili November 8.

Ligi Kuu Uingereza Jumamosi ya November 7
1
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza November 7 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Bournemouth Vs Newcastle Saa 15:45
  • Leicester Vs Watford Saa 18:00
  • Man Utd Vs West Brom Saa 18:00
  • Norwich Vs Swansea Saa 18:00
  • Sunderland Vs Southampton Saa 18:00
  • West Ham Vs Everton Saa 18:00
  • Stoke Vs Chelsea Saa 20:30
2
Ratiba ya mechi za Ligi Kuu Uingereza November 8 kwa saa za Afrika Mashariki
  • Aston Villa Vs Man City Saa 16:30
  • Arsenal Vs Tottenham Saa 19:00
  • Liverpool Vs Crystal Palace Saa 19:00
Ligi Kuu Hispania November 7 na 8
hispa
Ratiba ya Ligi Kuu Hispania kwa saa za Afrika Mashariki
  • Celta de Vigo Vs Valencia Saa 18:00
  • Levante Vs Deportivo de La Coruña Saa 20:15
  • Eibar Vs Getafe Saa 22:30
  • Rayo Vallecano Vs Granada CF Saa 22:30
Jumapili ya November 8
  • Málaga Vs Real Betis Saa 00:05
  • Ath Bilbao Vs Espanyol Saa 14:00
  • Barcelona Vs Villarreal Saa 18:00
  • Atl Madrid Vs Sporting de Gijón Saa 20:15
  • Sevilla Vs Real Madrid Saa 22:30

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox