Cristiano
Ronaldo amefanya uzinduzi wa filamu yake ya Ronaldo.
Uzinduzi
umefanyika jijini London, England na kuhudhuriwa na wageni kibao ila Alex
Ferguson ndiye alionekana kuwa mgeni aliyevutia zaidi.
Ronaldo
alimkaribisha Ferguson kwa mashamsham ikiwa ni pamoja na kumkumbatia.
Kocha
Jose Mourinho aliyewahi kuwa bosi wa Ronaldo pale Real Madrid pia alijitokeza.
Wachezaji
mbalimbali pamoja na watangazaji walijitokeza uzinduzi huo wa filamu.
Ronaldo
aliongozana na mama yake mzazi, maria Dolores pamoja na mtoto wake, Ronaldo Jr.
|
AKIWA NA FARGUSON.. |
|
...AKIMKUMBATIA. |
|
FALCAO... |
|
NEVILLE... |
|
CARLO ANCELOTTI NA WAKALA WAKE |
|
MOURINHO |
|
MTANGAZAJI WA MICHEZO, HAYLEY MCQUEEN |
|
AKIWA NA MWANAYE NA MAMA YAKE MZAZI.. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni