STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Desemba 2015

AFRICAN SPORTS WAMEBANA LAKINI WAMEACHIA BAADA YA KAMUSOKO KUFUNGA GOLI PEKEE KWA YANGA....


IMG-20150913-WA0134
Goli la kiungo mshambuliaji toka Zimbabwe Thaban Kamusoko limeiwezesha Yanga SC kufanikiwa kuondoka na pointi 4 katika michezo miwili waliyo cheza mkoani Tanga na kurejea katika usukani wa ligi kuu ya vodacom.

Yanga SC leo walikuwa katika uwanja wa Mkwakwani kuikabili African Sports ikiwa ni baada ya kutoka sare ya bila kufungana na Mbambo shooting katika uwanja huo huo.

Katika mchezo wa leo African Sports walionekana kuingia uwanjani kwa nia ya kutafuta sare katika mchezo wao wa leo na dhasmira zao kuzimika katika dakika ya mwisho wa mchezo.

Yanga walianza kwa ksai mchezo huo na kupoteza nafasi mbili katika dakika 15 za mwanzo kupitia kwa Saimon Msuva na kupelekea mchezo kwenda mapumziko wakiwa sare ya bila kufungana.



Katika kipindi hicho cha kwanza African Sports walifanya jaribio moja langoni mwa yanga lakini shuti lao lilitoka nnje huku yanga wakifanhya majaribio si chini ya 7 langoni mwa Africasn Sports.

Katika kiupindi cha pili muda mwingi wachezaji wa African Sports walikuwa wanaanguka chini kujaribu kupoteza mchezo huku yanga wakipoteza utulivu kadri dakika zilivyokuwa zikisogea.

Katia dakika ya 80 nusura African sports waandike goli baada ya mshambuliaji wao kushindwa kutumia makosa ya Juma Abdul ambapo aliteleza vwakati anajaribu kweka mpira atia himaya yake na mshambulijai wa African Sports akishindwa kuitumia nafasi hiyo.

Katika dakika ya 5 ndani ya dakika 5 zanyongeza kuvuidia dakika zilizopotea Thaban Kamusuko aliiandikia Yanga goli pekee la ushindi akimalizia pasi safi ya kichwa toka kwa Donald Ngoma na kuipatia yanga pointi 3 katika mchezo huo wa leo.

Kwa matokeo hayo ya elo Yanga SC wamrejea katika usukani wa ligi kuu wakiizidi Azam Fc mchezo mmoja na pointi moja.



MSIMAMO WA LIGI BAADA YA MICHEZO YA LEO

RnTimuPWDLFAGdPts
1YANGA118302351827
2Azam FC108202271526
3MTIBWA SUGAR10721147723
4SIMBA SC107121771022
5STAND UNITED11614116519
6MWADUI FC115331310318
7T. PRISONS115241114-317
8TOTO AFRICANS114431113-216
9MGAMBO SHOOTING1133569-312
10MAJIMAJI FC11326719-1211
11MBEYA CITY112451011-110
12NDANDA FC1016379-29
13Coastal Union1115539-68
14JKT RUVU112271017-78
15KAGERA SUGAR11137314-116
16AFRICAN SPORT11119213-114

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox