Tajiri wa kirusi ambae ni mmiliki wa klabu ya Chelsea Roman Abramovich amemtimua kazi kwa mara ya pili kocha wa klabu ya Chelsea,Mreno Jose Mourinho.
Hatua hiyo imekuja baada ya kukaa kikao cha takribani masaa 24 siku ya jana kati ya wakurungezi wa bodi wa timu hiyo na mmiliki huyo.
Hatua imekuja baada ya mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Uingereza kuanza msimu vibaya tangu mmiliki huyo ainunue klabu hiyo na mpaka sasa Chelsea ipo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi kuu.
Team | P | GD | Pts | |
---|---|---|---|---|
1 | Leicester City | 16 | 12 | 35 |
2 | Arsenal | 16 | 16 | 33 |
3 | Manchester City | 16 | 15 | 32 |
4 | Manchester United | 16 | 9 | 29 |
5 | Tottenham Hotspur | 16 | 12 | 26 |
6 | Crystal Palace | 16 | 6 | 26 |
7 | Watford | 16 | 2 | 25 |
8 | West Ham United | 16 | 4 | 24 |
9 | Liverpool | 16 | 1 | 24 |
10 | Everton | 16 | 8 | 23 |
11 | Stoke City | 16 | -1 | 23 |
12 | Southampton | 16 | 2 | 21 |
13 | West Bromwich Albion | 16 | -5 | 20 |
14 | Bournemouth | 16 | -11 | 16 |
15 | Newcastle United | 16 | -13 | 16 |
16 | Chelsea | 16 | -8 | 15 |
17 | Swansea City | 16 | -9 | 14 |
18 | Norwich City | 16 | -10 | 14 |
19 | Sunderland | 16 | -13 | 12 |
20 | Aston Villa |
Taarifa rasmi klabuni hapo zinasema watamtangaza kocha atakae chukua nafasi ya Jose Mourinho ingawa tayaru dalili za kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Uholanzi Guus Hiddink atachukua madaraka ya kuinoa timu hiyo mpaka mwisho wa msimu
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni