STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Ijumaa, 17 Aprili 2015

PELE AMCHAGUA MESSI BADALA YA RONALDO.

NGULI wa soka wa Brazil, Pele amesema atamchagua Lionel Messi badala ya Cristiano Ronaldo kwasababu ya uwezo wa kufanya mambo zaidi kuliko kufunga mabao pekee. Ronaldo kwasasa ndio anaongoza kwa kufunga mabao katika La Liga akiwa na mabao 38 na pasi za mwisho 12 wakati Messi ana mabao 34 na pasi za mwisho 15. Akihojiwa Pele amesema mara zote huwa hapendi kuwafanisha wachezaji hao kwani wako tofauti lakini anadhani Messi ndio yuko juu zaidi ya mwenzake. Pele aliendelea kudai kuwa Ronaldo ni mchezaji mkubwa na huwa anacheza kama mshambuliaji zaidi lakini Messi mbali na kufunga mabao pia ni mtengenezaji mzuri wa nafasi za kufunga jambo ambalo linamtofautisha na mwenzake. Nguli huyo amesema wawili hao wanaweza kuwa muhimu lakini akiambiwa kuchagua atamchagua Messi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox