JAMES MILNER ATUA ANFIELD
LIVERPOOL wametangaza kufikia makubaliano ya kumsajili James Milner kutoka Manchester City.
Mkataba wa Milner katika klabu yake ya Man City unamalizika majira ya kiangazi mwaka huu na ameshindwa kufikia makubaliano na timu hiyo, hivyo anajiunga na Liverpool akiwa mchezaji huru na muda wowote anakwenda kupima afya.
Taarifa rasmi ya Liverpool hii hapa;
#LFC are delighted to announce a deal has been agreed to sign James Milner from Manchester City, subject to a medical pic.twitter.com/dQjD5BQ5xm
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni