STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 26 Agosti 2015

BALOTELLI APEWA MASHARTI MAGUMU AC MILAN..........

2BABE79600000578-0-image-m-53_1440581945151












August 25 ni siku ambayo mshambuliaji wa kimataifa wa Italia Mario Balotelli ambaye alikuwa akiichezea Liverpool ya Uingereza athibitishwe kujiunga na klabu ya AC Milan ya Italia kwa mkopo wa muda mrefu. Balotelli alijiunga na AC Milan ikiwa ni msimu mmoja umepita toka ahamie Liverpool akitokea klabu ya AC Milan

Sasa August 26 zimetoka taarifa mpya kuhusu vipengele vilivyomo ndani ya mkataba wa Mario Balotelli wa kujiunga na AC Milan, imethibitishwa kuwa, kuna kipengele ambacho kinamzuia kuweka Style za nywele za ajabu kuvuta sigara ili kulinda afya yake, kufika mazoezini kwa wakati,kuacha kunywa pombe na kwenda Club bila mpangilio.

Kwa mujibu wa gazeti la dello Sport linaeleza kuwa afisa mtendaji mkuu wa klabu ya AC Milan Adriano Galliani ameeleza kuhusiana na kipengele hicho kuwemo kwenye mkataba, Balotelli amewahi kukutwa na muhudumu wa treni akivuta sigara katika choo cha treni.
2BABD8B100000578-0-image-a-38_1440581288448
Haya ni baadhi ya makosa ambayo Balotelli aliwahi kufanya na faini alizolipa

1 2

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox