STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 26 Agosti 2015

MPIRA MAALUMU UTAKAO TUMIKA KATIKA MICHUANO YA KLABU BINGWA BARANI ULAYA 2015/2016



News-Picture-UEFA

Kabla ya kuanza kwa Ligi Kuu Uingereza na Ligi Kuu Hispaniamashirikisho ya soka ya nchi husika huwa wanatangaza aina ya mpira utakaotumika katika msimu husika, tayari tumeshaona mpira unaotumika katika Ligi mbalimbali barani Ulaya.

Adidas-Finale-15-Champions-League-Official-Match-BallAugust 26 umetangazwa mpira utakaotumika katika michuano ya klabu Bingwa Ulaya msimu huu, licha ya kuwa ulitumika katika mechi ya kwanza ya mchujo katika ya Manchester United dhidi ya Bruges lakini August 27 ni siku ambayo utazinduliwa rasmi mpira huo katika mji wa Marseille Ufaransa.

Adidas-Finale-15-Champions-League-Official-Match-Ball (1)
Uzinduzi huo utapambwa na uwepo wa wachezaji wa vilabu vya Man United, Real Madrid, AC Milan, Bayern Munich, Chelsea na Juventus lakini ni siku ambayo droo ya makundi ya klabu Bingwa Ulaya itachezeshwa.
Hizi ni picha za mpira huo

Adidas-Finale-15-Champions-League-Official-Match-Ball (2)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox