STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 26 Agosti 2015

KASEJA KUVAA VIATU VYENYE JINA LAKE NA GLOVES.............


kaseja


Katika maandalizi ya kurudi langoni Kaseja ametengeneza viatu maalum kwa ajili yake hivyo usishangae kumuona akiwa langoni na viatu vyenye jina lake Kaseja Coper 1 pamoja na gloves. 

Ingawa mkongwe huyo amegoma kutaja gharama ya aliotumia kutengeneza viatu hivyo.


kaseja

Kaseja ambaye amewahi kupatiwa jina la Tanzania One kutokana na umahiri wake awapo langoni amesajiliwa na klabu ya Mbeya City baada ya kuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi zaidi ya sita.

Alipo ulizwa kama ni mpango wake kufanya biashara ya vifaa vya michezo kwa kutumia jina lake jibu ni kuwa ametengeneza kwa ajili yake pekee.


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox