STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumanne, 11 Agosti 2015

TEAM CRISTIANO RONALDO WATUPIWA MADONGO KUTOKANA NA MIUJIZA YA LIONEL MESSI

Akicheza mechi yake ya kwanza msimu wa 2015/2016, Lionel Messi hakuhitaji dakika nyingi kuwanyamazisha mashabiki duniani kote.
Nyota huyo mwenye miaka 28, raia wa Argentina alifunga magoli mawili kwa mipira miwili iliyokufa 'Free Kick' Barcelona ikishinda 5-4 dhidi ya Sevilla katika mechi ya fainali ya Uefa Super Cup iliyopigwa jana.
Magoli hayo yaliyopishana kwa dakika 9 tu yaliufanya mtandao wa Twitter uwe 'busy' kupita maelezo.
Mshindi huyo mara nne wa Ballon d'Or, katika maisha yake ya soka hajawahi kufunga free kick mbili ndani ya mechi moja.
Kwa kiwango alichoonesha nyota huyo kijana wa Barcelona, ana uwezekano mkubwa wa kushinda tuzo binafsi ya tano ya Ballon d'Or mwezi Januari mwakani.
Tumekukusanyia baadhi ya Tweets baada ya Messi kuandika historia ya aina yake.













Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox