STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Septemba 2015

ALICHO KISEMA BENITEZ KUHUSU RONALDO...................



MENEJA wa Real Madrid, Rafel Benitez amesema hakuna mdahalo wowote juu ya kama Cristiano Ronaldo ni mchezaji bora duniani au la. 

Nyota huyo wa kimataifa wa Ureno ambaye alifunga mabao matano katika mchezo dhidi ya Espanyol Jumamosi iliyopita na kuwa mfungaji anayeongoza kwa mabao katika historia ya Madrid, alifikisha mabao nane katika mechi mbili kufuatia kufunga hat-trick katika mchezo wa jana wa Ligi ya Mabingwa Ulaya ambao waliifunga Shakhtar Donetsk kwa mabao 4-0.

 Akihojiwa mara baada ya mchezo huo, Benitez amesema hakuna ubishi wala majadiliano kwani Ronaldo ndiye mchezaji bora duniani. Benitez aliendelea kudai kuwa anashangazwa kinachofuatiliwa sana ni jinsi watu wanavyosema kuhusu Ronaldo lakini sio kinachotokea uwanjani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox