STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Septemba 2015

MAWAKILI WA GERRARD WAKANUSHA KAULI YA DIOUF.......


MAWAKILI wa Steven Gerrard wamekanusha tuhuma zilizotolewa na El Hadji Diouf kuwa nahodha huyo wa zamani wa Liverpool alikuwa akiwachukia wachezji weusi. 

Diouf alitoa madai hayo wakati akihojiwa na radio moja nchini Senegal akijibu shutuma zilizotolewa kwake na Gerrard katika kitabu chake ambacho kitatolewa baadae mwezi huu. 

Nyota huyo wa zamani amesema wakati akiwa Liverpool alimuonyesha Gerrard kuwa yeye mweusi na sio Muingereza jambo ambalo hakuwahi kulifurahia na kufikia hatua hata kushindwa kumtizama machoni. 

Hata hivyo mawakili wake walikanusha tuhuma hizo wakidai kuwa ni za uongo na zina lengo la kuchafua heshima ya mteja wao aliyojijengea.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox