STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Septemba 2015

IJUE MIJI INAYOTAFUTA UENYEJI WA OLIMPIKI 2024.......


MIJI ya Los Angeles, Hamburg, Rome, Budapest na Paris inatarajiwa kuchuana kutafuta mwenye wa michuano ya Olimpiki mwaka 2024. 

Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki-IOC inatarajiwa kuchagua mshindi katika kura zitakazopigwa Septemba mwaka 2017 huko Lima, Peru. Meya wa mji wa Toronto John Tory alitangaza Jumatatu kuwa jiji hilo limeamua kujitoa kutokana na kutingwa na majukumu mengine. 

Sheria mpya iliyobadilishwa Agosti mwaka huu na IOC inaihakikishia miji yote inayotafuta uenyeji wa michuano hiyo kufuzu mpaka hatua ya mwisho. 

Sheria hiyo imebadilishwa baada ya miji minne, Oslo, Stockholm, Krakow na Lviv kujitoa katika kinyang’anyiro cha michuano ya olimpiki ya majira ya baridi mwaka 2022.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox