STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Septemba 2015

HIKI NDICHO ALICHO POST SHAW BAADA YA KUVUNJIKA MGUU.......


Mlinzi wa kushoto wa Manchester United Luke Shaw aliumia vibaya wakati wa mchezo wa klabu bingwa Ulaya wakati timu yake ikicheza dhidi ya PSV Eindhoven ya Uholanzi usiku wa jana.

Shaw alitolewa nje ya uwanja kwa machela ikiwa ni dakika ya 24 tu kipindi cha kwanza, na nafasi yake kuchukuliwa na Marcos Rojo.

Inaelezwa kuwa Shaw amevunjika mguu na anatarajiwa kufanyiwa upasuaji mara atakapotua jijini Manchester.

Shaw ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter, akiwashukuru wale wote walomtumia ujumbe wa kumtakia kila la kheri na apone haraka kutokana na jeraha alililopta.

"Asanteni sana wote kwa jumbe zenu, nashindwa hata kuelezea ni namna gani nilivyofaraijika, safari yangu ya kupona inaanza sasa, naamini nitarudi nikiwa imara zaidi", Shaw.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox