STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatano, 16 Septemba 2015

TUKIO LA RAMOS KUJIANGUSHA LAZUA MIJADALA KIBAO........



Klabu ya Real Madrid ya Hispania September 15 ilishuka dimbani kucheza mechi yake ya kwanza ya Kundi A dhidi ya klabu ya Shaktar Donetsk.

Mechi iliyomalizika kwa klabu ya Real Madrid kuibuka na ushindi wa goli 4-0, magoli yakifungwa na Karim Benzema, Cristiano Ronaldo aliyefunga hat-trick.

m2
Stori inayozungumzwa katika mtandao wa twitter ni juu ya beki wa Kihispani n klabu ya Real Madrid Sergio Ramos ambaye alijiangusha kitu ambacho kimekuwa stori kubwa katika mtandao wa twitter kila mpenda soka alikuwa anakielezea katika maono yake wengine wanatoa marks, Kwani kwa haraka kama unaangalia kwa mara ya kwanza tukio hilo unaweza ukahisi kafanyiwa faulo kubwa sana tena katika eneo la hatari.



m3

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox