
Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Argentina baada ya kutangazwa mshindi wa tuzo hiyo inakuwa ni ya tano, ambapo kwa sasa yeye ndiye mchezaji pekee aliyewahi kuchukua tuzo hiyo mara nyingi kuliko mchezaji yeye katika histiria ya soka.
Messi ambaye kwa sasa ana miaka 27 tuzo yake ya kwanza ya Ballon d'Or ilikuwa ni mwaka 2009
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni