
Nice & Lovely Miss Tanga 2014, Diana Festo akiwa katika gari lake baada ya kuibuka mshindi katika shindano lililofanyika Mkonge Hotel jumamosi June 21' 2014.

Washindi waliofanikiwa kuingia tano bora ya Nice & Lovely Miss Tanga 2014.

Mshiriki akiwa katika vazi la ubunifu.



Nice & Lovely Miss Tanga, Diana Festoa ( katikati ) akiwa na mshindi wa pili Noon Juma na Vanesa Charles aliyeibuka mshindi wa tatu.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni