STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 26 Juni 2014

Mshukiwa wa Boko Haram akamatwa baada ya shambulizi la Bomu jijini Abuja

Shambulizi katika jengo la biashara la  Emab Plaza jijini Abuja.
Shambulizi katika jengo la biashara la Emab Plaza jijini Abuja.

Polisi nchini Nigeria wamemkamata mtu mmoja anayetuhumiwa kutekeleza shambulizi katika duka la jumla jijini Abuja siku ya Jumatano na kusababisha vifo vya watu
21 na wengine kujeruhiwa.

Shambulizi hilo lililotekelezwa na kundi la kigaidi la Boko Haram lilitokea katika duka la Emab Plaza saa 10 jioni wakati wakaazi wa jiji hilo walipokuwa wanafanya manunuzi ya bidhaa kabla ya kwenda nyumbani.
Msemaji wa polisi nchini humo Frank Mba amethibitisha kukamatwa kwa mshukiwa mmoja, na kuongeza kuwa watu waliojeruhiwa ni 17.

Hasara baada ya shambulizi la Abuja
REUTERS/Stringer

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox