Mwendesha
pikipiki na abiria (majina hayakutambulika) wakiwa wamelala chini
katika barabara ya Chalinze Segera karibu na Kabuku baada ya kugongwa na
gari ndogo yenye usajili namba T818 BNS jana mchana. Mpiga picha wa
tukio hili alienda kutoa taarifa ya ajali kiTuo cha polisi cha Kabuku
ambapo Polisi walienda kutoa msaada wa kukimbiza majeruhi hospitali
pamoja na kupima ajali. (Picha kwa hisani ya Rodney Thadeus)
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumatano, 18 Juni 2014
Home
/
Unlabelled
/
NINI KIFANYIKE KUEPUKA AJALI KAMA HIZI? HII IMETOKEA BARABARA YA CHALINZE/ SEGERA DEREVA WA BODABODA NA ABIRIAWAKE
NINI KIFANYIKE KUEPUKA AJALI KAMA HIZI? HII IMETOKEA BARABARA YA CHALINZE/ SEGERA DEREVA WA BODABODA NA ABIRIAWAKE
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni