MASHABIKI
wa Luis Suarez walijitokeza kwa wingi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa
Carrasco jirani na Montevideo kumlaki mshambuliaji huyo aliyefungiwa
Kombe la Dunia akirejea nchini Uruguay.
Akiwa
amefungiwa mechi tisa za kimataifa na miezi minne kwa ujumla
kujihusisha na soka, Suarez alirejea Uruguay akiiacha timu yake imetinga
Hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia.
Mashabiki
walijimwaga mitaani hadi Uwanja wa Ndege kwenda kumpokea mshambuliaji
huyo wa Liverpool nchini Uruguay, huku wengine wakiwa wamevaa picha yake
kumtukuza nyota huyo.
Rais
wa Uruguay, Jose Mujica alikuwas Uwanja wa Ndege pia kumpokea, lakini
akaamua kuondoka katakana na ndege iliyokuwa inamrejesha Suarez
kuchelewa.
Partisan: Supporters wanted to see the star striker arrive back in Uruguay following his ban
Shabiki akiwa ameshika bango la kuikandia FIFA kwa kumfungia Suarez
Shabiki mdogo akiwa na meno bandia mdomoni mwake Uwanja wa Ndege wa Carrasco
Watu wakiwa wamejipanga barabarani tayari kumpokea mshambuliaji huyo wa Liverpool
Barabara ya kuelekea Uwanja wa Ndege Carrasco watu wako tayari kwa mapokezi ya Suarez
Kwa
sababu ya kuchelewa, umati wa watu wapatao 1,000 uliondolewa eneo la
Uwanja wa Ndege na kuhamishiwa katika eneo la jeshi kuendelea kumsubiri
Suarez awasili.
Mapema Suarez alipigwas picha akiwa na wachezaji wenake mjini Rio wakati wanawasili hotelini.
Uruguay itamenyana na Colombia katika 16 Bora ya Kombe la Dunia mechi ya timu za Amerika Kusini tupu.
AFARIKI BAADA YA KUTUMIA SIMU IKWA CHARGE
Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 28 alikutwa amevaa headphones masikioni akiwa na kompyuta yake mikononi huku akiwa na majeraha ya kuungua kifuani na masikioni nyumbani kwake huko Gosford, Kaskazini mwa Sydney.
Mwanamke huyo ambaye ripoti zinadai kuwa anatokea nchini Ufilipino na baadae kuwa raia wa Australia alivaa headphones zilizokuwa zimechomekwa kwenye kompyuta ndogo iliyokuwa imechomekwa kwenye socket ya umeme

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni