DROO
za Raundi ya Kwanza na ya Pili za Mchujo za UEFA CHAMPIONZ LIGI kwa
Msimu mpya wa 2014/15 imefanyika hii Leo huko
Nyon, Uswisi.
Timu kubwa ambazo zitaanza hatua hizi za
awali ni pamoja na Celtic FC ya Scotland na FC Steaua Bucureşti ya
Romania ambazo Msimu uliopita zilifika Hatua ya Makundi baada ya kuanzia
Raundi ya Pili ya Mchujo kama safari hii.
Msimu huu, Celtic itacheza na KR
Reykjavík ya Iceland na FC Steaua Bucureşti kucheza na Strømsgodset IF
ya Norway.Mechi hizo zitachezwa Tarehe 15 na 16 Julai na Marudiano
Tarehe 22 na 23 Julai.
Washindi wa Raundii hiyo watasonga Raundi ya Tatu ya Mchujo na kisha Raundi ya Mwisho ya Mchujo kabla Makundi kuanza.
DROO KAMILI
Raundi ya Kwanza ya Mchujo
(Mechi kuchezwa Julai 1/2 na Marudiano Julai 8/9)
FC Santa Coloma (AND) v FC Banants (ARM)
Lincoln FC (GIB) v HB Tórshavn (FRO)
SP La Fiorita (SMR) v FC Levadia Tallinn (EST)
Raundi ya Pili ya Mchujo
(Mechi kuchezwa Julai 15/16 na Marudiano Julai 22/23)
FC BATE Borisov (BLR) v KS Skënderbeu (ALB)
Maccabi Tel-Aviv FC (ISR) v FC Santa Coloma (ARM)/FC Banants (ARM)
FC Dinamo Tbilisi (GEO) v FK Aktobe (KAZ)
HŠK Zrinjski (BIH) v NK Maribor (SVN)
FC Sheriff (MDA) v FK Sutjeska (MNE)
AC Sparta Praha (CZE) v SP La Fiorita (SMR)/FC Levadia Tallinn (EST)
Malmö FF (SWE) v FK Ventspils (LVA)
ŠK Slovan Bratislava (SVK) v The New Saints FC (WAL)
Celtic FC (SCO) v KR Reykjavík (ISL)
Cliftonville FC (NIR) v Debreceni VSC (HUN)
FK Partizan (SRB) v Lincoln FC (GIB)/HB Tórshavn (FRO)
Legia Warszawa (POL) v Saint Patrick's Athletic (IRL)
FK Rabotnicki (MKD) v HJK Helsinki (FIN)
GNK Dinamo Zagreb (CRO) v VMFD Žalgiris (LTU)
PFC Ludogorets Razgrad (BUL) v F91 Dudelange (LUX)
Valletta FC (MLT) v Qarabağ FK (AZE)
Strømsgodset IF (NOR) v FC Steaua Bucureşti (ROU)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni