STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Jumatatu, 14 Julai 2014

MTOTO ALIYEKUFA "AFUFUKA" KWENYE MSIBA WAKE Waombolezaji nchini Ufilipino walipatwa na mshituko, pale mtoto wa miaka mitatu aliyekuwa "amekufa" kuzinduka wakati wanampeleka mazikoni. Kwa mujibu wa gazeti la Metro -mtoto huyo kutoka Aurora, Zamboanga del Sur, alitangazwa kufa siku ya Ijumaa, na maziko kupangwa Jumamosi mchana. Lakini wakati wa shughuli ya msiba, ndugu na marafiki walishtushwa wakati mtoto huyo "alipofufuka". Watu walianza kurekodi tukio hilo baada ya padre aliyekuwa akifanya misa kugundua kuwa mtoto huyo amejisogeza, kabla ya kufungua macho. Video ya tukio hilo imewekwa kwenye YouTube

                      

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox