STAY WITH US

LightBlog

Breaking

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

TANGAZA NASI: +255 655 442 255

CHANZI OPEN SCHOOL

CHANZI OPEN SCHOOL

Alhamisi, 17 Julai 2014

TONI KROOS AJIUNGA REAL MADRID!


KIUNGO wa Bayern Munich Toni Kroos amejiunga na Real Madrid kwa Ada ambayo haikutajwa na amepewa Mkataba wa Miaka 6.
TONI_KROOSKroos, mwenye Miaka 24, alikuwa mmoja wa Wacheza muhmu wa Germany ambao walitwaa Ubingwa wa Dunia Jumapili iliyopita baada ya kuifunga Argentina Bao 1-0 kwenye Fainali ya Kombe la Dunia huko Brazil.
Kroos atatambulishwa rasmi hapo kesho Alhamisi Uwanjani Santiago Bernabeu kama Mchezaji mpya wa Real Madrid.
Staa huyo alijiunga na Bayern kutoka Hansa Rostock akiwa na Miaka 16 na kuichezea Bayern Mechi 173 za Bundesliga.
Kuna kipindi Kroos alikuwa kwa Mkopo huko Bayer Leverkusen lakini alirudi Bayern na kuisaidia kutwaa Ubingwa wa Bundesliga mara 3 na German Cup mara 3.
Pia alikuwa mmoja wa Wachezaji wa Bayern walioweka Historia kwenye Msimu wa 2012/13 kwa kutwaa Trebo, yaani UEFA CHAMPIONZ LIGI, Ubingwa wa Bundesliga na German Cup.
Vile vile Msimu uliopita akiwa na Bayern walitwaa
UEFA Super Cup na Kombe la FIFA la Klabu Bingwa Duniani.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA

Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...

TIBA YA KIIMANI

TIBA YA KIIMANI

a

a
Adbox