Kiungo mshambuliaji mpya wa Man United, Angel Di Maria amesema ana taarifa kuhusiana na jezi namba 7.
Di Maria amesema ana taarifa za heshima kubwa ya jezi hiyo kwa kuwa alizungumza na Ronaldo ambaye aalikuwa anakipiga naye Real Madrid
.
Amesema pamoja na uongozi wa Man United kutaka aivae, hata yeye alikuwa akitaka kuivaa jezi hiyo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni