Drogba alisaidia nchi yake katika upatanishi baada
ya mgogoro wa kisiasa
Mchezaji soka maarufu wa
Ivory Coast Didier Drogba, ametangaza kustaafu kutoka katika soka ya kimataifa.
Alishiriki kombe la dunia mara tatu
na mashindano ya kombe la Afrika mara 2
Amesema kuwa anajivunia kusaidia
nchi yake kufika katika nafasi hiyo kimataifa.
Drogba alipigia debe kumalizika kwa mgogoro wa kisiasa na pia kuhimiza pande zilizozozana kupatana.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni