Marefa
mafedhuli wapo dunia nzima! Refa Martin Atkinson na wasaidizi wake
wakitoka uwanjani wanafurahi baada ya kuinyima penalti ya wazi Arsenal
ikifungwa 1-0 na Monaco katika Kombe la Emirates jioni ya leo
Dhuluma hii: Chuba Akpom akimpiga chenga kipa wa Monaco, Daniel Subasic kwenye eneo la hatari
Akpom akiangushwa chini ndani ya eneo la hatari na kipa wa Monaco
Licha ya kuangushwa ndani ya boksi, refa huyo akatoa mpira nje upigwe mpira wa adhabu badala ya kutoa penalti

Kwanza Martin Atkinson alielekeza mpira utengwe kwenye eneo la penalti

Lakini akabadilisha mawazo baada ya kushauriwa na wasaidizi wake
Mathieu Flamini (katikati) akilalamikia maamuzi ya refa huyo



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni