Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limesema litafanya uchunguzi kujua
uhakika wa deni unalodaiwa na kampuni ya kutengeneza tiketi ya nchini Kenya.
Wambura amesema watafanya uchunguzi, lakini akasisitiza, uchache wa watu
kwenye baadhi ya mechi kimekuwa chanzo cha
deni hilo.
deni hilo.
“Unajua kuna wakati mechi zinakuwa na watu wachache sana, lakini wenyewe
wame-supply tiketi tu.
“Hivyo ni lazima ulipe na utaona mechi kadhaa zikiwa namna hiyo, deni
linaongezeka kwa kuwa mechi hizo zinakuwa hazilipi.
“Kuna mambo ya kuangalia lakini tunaendelea kujitahidi kiasi
kilichobakia kimalizike,” alisema Wambura.
Wadau wa soka wameonyesha kushangazwa na taarifa za kukamatwa kwa basi
hilo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni