Brazil inaongoza
kujihushisha na usajili wa kimataifa kwa mpira wa miguu tangu FIFA TMS ianze
kukusanya taarifa za usajili kutoka nchi wanachama duniani kote mwezi Oktoba
2010.
Pia wachezaji wa
Brazil ndio wanaongoza kuuzwa katika soka la kimataifa la usajili.
Hapa kufafanua
namna Brazil inavyojihusisha katika dirisha la usajili la kimataifa kwa
kuzihusisha klabu za nchi hiyo na wachezaji wake kwa miaka mitatu iliyopita.
·
Kulikuwa na dili 5,003 katika soka la usajili zikihusisha klabu
za Brazil kati ya januari 2011 na Juni 2014, ni namba kubwa zaidi duniani.
·
Katika dili 5,526 za usajili, wachezaji wa Brazil ndio walihamishwa
zaidi duniani kote kati ya Januari 2011 na Juni 2014. Hii ni zaidi ya mara
mbili dhidi ya taifa la Argentina ambalo linashika nafasi ya pili kwa kuuza
wachezaji wengi ambapo wachezaji 2,632
walihamishwa.
·
Ikiwa imebalansi vizuri ada ya uhamisho iliyokuwa dola za
kimarekani 579 kati ya januari 2011 na juni 2014, klabu za Brazil ziliweka
rekodi ya kupokea dili kutoka kwa kila taifa katika soko la usajili.
· Ureno ni nchi inayofungua milango ya wachezaji wengi wa Kibrazil kwenda Ulaya, ambapo wachezaji 805 walihamishwa baina ya mataifa haya kati ya januari 2011 na juni 2014, hii ndio idadi kubwa zaidi ya wachezaji kuhusisha mataifa mawili duniani kote.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni