TIMU ya taifa ya mpira
wa kikapu ya wanawake ya Qatar imejitoa katika michuano ya Asia
inayofanyika nchini Korea Kusini baada ya kukataliwa ombi lao la kutaka
kuruhusiwa kutumia hijab wakati michuano hiyo. Wachezaji wa timu hiyo
walitakiwa kuondoa vitambaa kichwani ambavyo hutumiwa na wanawake wa
dini ya Kiislamu kabla ya mchezo dhidi ya Mongolia lakini walikataa na
kupoteza mchezo huo. Sheria za mchezo huo duniani imeorodhesha kofia za
kichwani na vibanio vya nywele kama vitu visivyotakiwa uwanjani. Huku
kukiwa na hakuna dalili kwanza sheria hiyo inaweza kubadilishwa kabla ya
mchezo wao unaofuata dhidi ya Nepal, timu hiyo imemua kujitoa. Michezo
mingine katika mashindano hayo ya Asia yanaruhusu wanamichezo kuvaa
hijab ambapo kilele chake kinatarajiwa kuwa Octoba 4 mwaka huu.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Alhamisi, 25 Septemba 2014
Home
/
Unlabelled
/
TIMU YA KIKAPU YA WANAWAKE YA QATAR YAJITOA KATIKA MASHINDANO KWA KUNYIMWA KUVAA HIJAB.
TIMU YA KIKAPU YA WANAWAKE YA QATAR YAJITOA KATIKA MASHINDANO KWA KUNYIMWA KUVAA HIJAB.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni