KLABU ya Atletico Madrid
imewatimua wanachama saba wa timu hiyo na kikundi cha watu wenye
msimamo mkali waliotambuliwa na polisi wa Hispania kushiriki vurugu na
mashbiki wa Deportivo La Coruna ambazo zilisababisha mtu mmoja kufariki
dunia. Miongoni mwa waliotambuliwa ni watu 15 ambao wamesema ni
mashabiki wa Atletico ambao saba kati yao ni wanachama ambao
walitimuliwa mara moja kwa mujibu wa taarifa za timu yao. Klabu hiyo pia
imesema inawafungia mashabiki wengine wenye msimamo mkali
waliotambuliwa na polisi kwa kosa la kushiriki vurugu hizo. Watu 21
waliokamatwa kwa vurugu hizo walifikishwa mbele ya mahakama jana na
baadae kuachiwa kwa dhamana.
TANGAZA NASI: +255 655 442 255
CHANZI OPEN SCHOOL
Jumatano, 3 Desemba 2014
ATLETICO YAWATIMUA WANACHAMA WAKE WALIOFANYA VURUGU ZILIZOSABABISHA KIFO.
About asantemuya
Soratemplates is a blogger resources site is a provider of high quality blogger template with premium looking layout and robust design. The main mission of templatesyard is to provide the best quality blogger templates.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
KAMATI YA TUZO IMEFANYA MCHUJO KWENYE WACHEZAJI 30 WAMEBAKI 15, MKUDE, AJIBU WAMETOLEWA, ANGALIA ORODHA
Kamati ya Tuzo za Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), iliyokutana wiki hii imeteua wachezaji 15 kwa ajili ya kuwania Tuzo ya Mchezaji Bora wa VPL msi...
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni